1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

10

Katika maisha na kifo, tunaweza kuwa na amani ya milele tukiamini katika miujiza ya Allah kuhusu maisha na kifo.

Hata Mtume Muhammed Al Mustafa hukutegemea katika Jihad yake mwenyewe and akatumaini kwa usalama ya Yule Rafiki wa Kweli alipo kuwa akiondoka Ulimwenguni huu.

Je, tunawezaje kulia zaidi kwa imani hata sisi?

Je, tunausalama katika mkono usiovunjika wa Rafiki wa Kweli, Isa Aleisalam ambaye ni Mtume maalum wa Allah?

Allah akubariki na nguvu zake katika Siratuf Mustaqiim.