|
|
3
kutoka katika maovu ya dhambi. Furaha kubwa iliyojaa na kumtukuza daima mwenyezi
Mungu ambaye ametuondolea masikitiko na majonzi milele.
Ni kwa njinsi gani sisi tulio waovu waume kwa wanawake tunaweza kuwa na furaha
hiyo? Ni wale tu ambao wametukuzwa na Baba Mungu ndio wataingia mbinguni. Katika
Alquarim Alqarim, mwenyezi Mungu anatufunulia kuwa alimchagua Isa Al Masih
Aleisalam mwana wa Mariam kuwa zawadi ya ufufuo kwa kila mwanadamu.
Mbinguni na Duniani, mwenyezi Mungu ameteua jina la Isa Aleisalam Masiha
aliyetabiriwa kuwa pekee mbinguni na duniani.
"--- yeye aliye na jina la masiha ni kielekezo duniani na kwengineko".
|
|
|
|
Kuzimu ni sehemu / mahali panapotisha sana. Wale waishio huko wanapata taabu sana
kwa sababu mavazi, mamblanketi na vitanda vyao vimetengenezwa kwamoto. Juu ya
vichwa na chini ya miguu yao kila mahali hapo kumejaa na moto, moshi mweusi na giza
kuu. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii na midomo yao imekuwa bubu katika
mahali hapo pa masikitiko. Pamoja na mateso makuu, mioyo yao haifi. " Huzuni kuu
imewajaa" hata hivyo mioyo yao hapa haina matumaini ya wokovu. Wakiwa hai, pia
mioyo yao iko kama imekufa. Hakuna mwisho wa maumivu yao, maumivu ni ya milele.
Tangu binadamu wa kwanza, Mtume Adamu, watu wote wameanguka katika majaribu ya
dhambi. Wamekuwa wakitenda dhambi na hivyo kuadhibiwa katika kuzimu yenye
mateso makubwa.
"Na hakuna yeyote kati yenu bali kwenda kwake. Hii ni ahadi ya Bwana Mungu
isiyoepukika."
|
|
|