|
|
11. Isa Al Masih Aleisalam alirundia kifo
"...angalianakujaharakakatika wafu , kwa njia ya Bwana Mungu".
12. Isa Al Masih Aleisalam alipewa miujiza na RohoMtakatifu.
"kwakeIsa Aleisalammwana wa Mariam ,tunatoaalama iliyo wazina kujiimarisha
kwake na RohoMtakatifu."
13. BwanaMunguanawachukulia walewotewanaomkataa Isa Al Masih Aleisalam
mtumewa.
Mungukuwa wamelaaniwa.
"Kuwa wale wanaokataa ukweli , kuwawanapinga Mariamu na ni " mashahidi wa
uwongo;"
14.Maandiko yoteyanazungumza ukweli juu ya Isa Aleisalam Kritso.
"Na hakuna mwanadamu katika kitabukitakatifu balini lazimakumuamini yeyekabla
ya kifo chake na siku ya hukumu atakuwa shahidijuu yao."
15. Wale wotewanao kataa kitabu cha sheria ya Mungu (Torati) na injili,wanahasabiwa
kuwahawanadini.(makafiri).
"Sema;watu wakitabucha Munguhamnasababuyakusimamaisipokuwa
kusimama katika sheria ,neno la injili na ufunuo wote unaokujakwenukutokakwa
BabaMungu ."
16. Isa Al Masih Aleisalam, neno la Mungu inakuja kutokakatika ufunuo wa Mungu
kutufunuliakwetumaanayakitabuchaMungu.
"na kweli,... kwa hekima."
17.Isa Al Masih Aleisalamanamamlaka /ufufo wadunianambingu.
"Angalia , malaika wa Mungu asema;Mariamu Mungu amekupatianeno laupendo
kutokakwake ;Jina lakeataitwaIsa Al Masih Aleisalam ,mwana wa Mariamu
kwaheshimayakekatikadunia hii, nabaadayenakwa walio karibuna Bwana
Mungu.
BwanaMunguamempatia Isa Al Masih Aleisalam mamlakana utawalawotejuu ya
dunia hiina ijayo. Isa Al Masih Aleisalamnjia iliyo nyoofu. Tuna kumbushwa kataka
Bibiliapale ambapowafuasi wakeIsa Aleisalam wamepewatuzo mbingu Isa Al Masih
Aleisalamalikuwamuhimukwa Munguhivyo jina Isa Aleisalamlime tajwamara 97
katika Bibilia.
|
|