"Niko karibu na Isa Aleisalam Mwana wa Mariam duniani na Mbinguni. Manabii wote
wana husiana kwa sababu ya jamii moja. Mama wanaweza kuwa tofauti lakini dini ni
moja".
"...Isa Aleisalam Mwana wa Mariam aheshimiwa duniani kote na baadaye. Na wale
walio karibu na Allah.
"Kuapa kwa Allah, kwani moyo wangu umkononi mwake.kwa maana wakati umekaribia
usiku ambapo mwana wa Mariamu ashuka kati yenu. Atakuwa hakimu mtakatifu."
"Hakuna Imam Mahdi ispokuwa Isa Aleisalam mwana wa Mariamu"
"...Isa ni Roho wa Allah, mtumwa wa Mungu na neno la Mungu."
Kwahivyo rafiki wa kweli ni Isa mwana wa Mariamu.Rafiki wa kweli alitumwa na Allah
kuja kusema hivi
"...Mtii hii ni njia nyoofu."
"...Bali msiwe kama wale wanaosema, Tunasikia lakini hatusikizi: Kwamabaya ya
mnyama mbele ya Allah ni visiwi na wasio zungumza na wasio elewa."
|