1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

5

"Wakati Isa Aleisalam alipokuja katika njia ilizo wazi, Alisema hivi: sasa ninakuja kwenu nikiwa na " hekima " kwa ajili ya kuweka wazi mambo yaliyo na utatanishi: mwogope Mungu na kumtukuza"

Isa Al Masih Aleisalam ananena neno la kweli juu ya mambo yaliyo na utatanishi. "Hivyo (yeye) Isa Al Masih Aleisalam mwana wa Mariamu (imekuwa) usemi uliyo wa kweli kwao wao (dhahiri) wanaupinga/wanakataa

Isa Al Masih Aleisalam ndiyo mtume wa Mungu na Neno.

"Isa Al Masih Aleisalam mwana wa Mariamu alikuwa mtume wa Mungu na neno lake"

Isa Al Masih Aleisalam, Roho Mtakatifu na Neno.

"Isa Al Masih Aleisalam alikuwa Roho wa Mungu na Neno"

Isa Al Masih Aleisalam ni "IMAM MAHDI" pekee.

(Mwongozo usioingilika) isipokuwa Isa Al Masih Aleisalam mwana wa Mariamu. Isa Al Masih Aleisalam alizaliwa sio kwa matakwa ya Binadamu bali kutokana na Roho wa Mungu.

"Pia (kumbuka) mwanamke aliye ilinda utu wake : Tunaishi katika yeye aliye Roho na tunamweka yeye na Mwanaye kuwa allama kwa watu wote"

Isa Al Masih Aleisalam alizaliwa akafa na akafufuka

"Hiyo amani ipo juu yangu tangu nilipo zaliwa, siku nitakapokufa hadi nitakaponyakuliwa Mbiguni katika maisha ya milele (Mapya)"

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9. Isa Al Masih Aleisalamaliy kuja, alitukuzwana wafuasiwakewamepewa thawabumbinguni.

"Angalia, Munguanasema, Isa Al Masih Aleisalam atawachukuana kupaananyi kwanguna kuwaondolea(yatokanayo namachafu) wotewalewanaomtusi Mungu; Mtawawekawalewotewanaomfuata kuwa mashujaawa kuacha dhambi siku ya ufufuo."

10.Isa Al Masih Aleisalamaliponya viwete na vipovu

"...Ninaponyawaliozaliwavipofu naviwetena ninawafufua wafu kwanjia ya bwana Mungu".