1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

4

Mbinguni? Bila ya kujua njia zilizofunuliwa na Mungu, tutaweza kuongozwa naye na kuwa wafuasi wake.

Je kuna kiwango cha kiasi kinachotosha kwetu kuweza kuingia Mbinguni?. Ni kiasi gani tunatakiwa kutii barabara sheria za kanisa la Mungu kabla ya kuingia Mbinguni? Ni kwa kiasi gani maombi yanatosheleza kutufanya tuwe na uhakika wa kuingia Mbinguni. Maelekezo ya namna ya kutunza dini hayajatoa jibu la kweli/wazi kwetu.

Pia, ni wangapi kati yetu wanaweza kutunza viwango vya mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuingia Mbinguni?

Ni wangapi kati yetu tuna nguvu, upendo na ukamilifu wa kupita viwango vya utiifu na kutoa kunakotakiwa kabla ya kuingia mbinguni?.

Kwa matokeo hayo, watu wengi wako katika masikitiko makubwa, mashaka na wasiwasi hata kama wanasali ipasavyo na kutoa sadaka. Kwa miaka mingi (miongo mingi ) Bwana Mungu ametuonyesha ni lazima tuombe kwake ili atuonyeshe njia ambayo yeye ametutayarishia.

"Tuonyeshe njia iliyo nyoofu"

"Lo, Waumini wa kweli wanamuogopa mwenyezi Mungu na wanatafuta njia inayowaongoza kwenda kwake?.

Je unaijua njia hii?

IMAGE imgs/Swahili06.gif

Sababu Mungu ni mwenye " huruma na upendo, yeye ametukumbusha na kutuhakikishia mwongozo wake wa namna ya kuingia Mbinguni. Na tusome Biblia kama yasemavyo hapa chini:

MWONGOZO KATIKA BIBLIA TAKATIFU NA ALHADITHI UNAMUWEZESHA MWANADAMU KUINGIA MBINGUNI

1.

Isa Al Masih Aleisalam ni njia iliyonyoofu kufuatwa

" Na Isa Aleisalam atakuwa alama ( kwa ajili ya kuja) saa ( ya hukumu): Hivyo usiwe na wasiwasi juu ya (wakati) bali nifuate Mimi. Hii ndiyo njia iliyo nyoofu"

Isa Aleisalam ni mwanga wa kuabudiwa

2.