|
|
7
Mbingu zinaweza kulinganishwana (ikulu) au makao makuu ya nchi. Kama Rais wa
nchi atakualikakatika Ikulu, utakuwa nauhakikakuwautaingia Ikulukwa sababu
aliye kualikandiyemwenye mamlaka yotena anamandarakayote ya Ikulu.
Hata hivyo, iwapo waziriambaye anamamlaka juu ya sehemu yeyoteya Ikulu
atakualikauende Ikulu,ni wazi utasitakwasababuinawezekana ukatumiafedha mingi
na usiruhusiwe kuingia.
Kwa neema,Mungu kama Rais wa nchi amemchagua Isa Al Masih Aleisalam, kuwa
Roho na alamakwa binadamu kwa ajili yakutuokoa kwenda mbinguni. Isa Al Masih
Aleisalam amekuja kutoka sehemu ilyo karibu sana na Mungu,kutuletea mwaliko huu wa
neema tokakwa Mungu ukiwa na mamlaka timilifu.
Kwa sababu Isa Al Masih Aleisalam alikuja kwa njia ya nenola Mngu kutoka katika
kitabukitakatifu.Mbinguni, neno lakehalina uongo,nahana dhambi.Kwa vile neno la
Mungu ni lazima ufanjike/lifanikiwe, ametimiza ujumbe wa wokovuwa Mungu
kikamilifu, wale wotewanaopata ujumbe huuna kumfuata yeyealiye njia nyoofu ya
Mungu,wataishi katika neema na kuingia mbinguni hakika.
Tangu Bwana alipoazimia hapoAlquranAlqarimkuwaBwanaamepewatuzo kuwa
hapa duniani na mbinguni,wale wote wanaofuatamaelezo yakewatapata dhawabu
mbinguni. Mfalme Mohamedaliwasilishaujumbe huu kwetu paleAlquran Alqurimna
Alhadith kutoka katika ufunuo wa kifo chake.
|
|
|
|
Basi akaiweka mikono yake chini akafa.
Je huyu rafiki wa kweli ni nani?
Kulingana na kisanga cha Hadith, hawa marafiki wa kweli wanaweza kuwa "Malaika" au
"Wanabii". Lakini Malaika hawajulikani kama marafiki wa Kweli. Kwa hivyo rafiki wa
Mtume Muhammed hawakuwa Malaika bali Nabii.
Kati ya wanabii ambao wanaweza kutambuliwa kama Rafiki wa Kweli ni nani?
|
|
|