1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

9

Ishara zake zinanyesha ya kwamba uongo wa Shoitan::Zina onyesha njia za ukweli za Allah.

Wale walioziacha njia zingine ili kufuata ishara za Isa Aleisalam wanafuata mwelekezo wa neema ya Mungu..Wako tayari kwa kifo na hukumu.Tuna uhakika wa ndani wa kuingia mbinguni kwa sababu walichukua kimbilioa lahakikwa rafiki wa kweli.Wako huru kwa hukumu yoyote kwa sababu hawategemei mtu yeyote wala hawategemei mazuri yao wenyewe.

Ewe Al Mu'mineen, usipuuze hizi ishara za Kalimatullah Isa.Tii na utaona Siratul Mustaqiim ikithibitishwa maishani mwako.

IMAGE imgs/Swahili10.gif

Je tumeongozwa na maneno ya kimiujiza ya tulioyopewa na rafiki wa kweli kutoka kwa Allah?

2) Rafiki wa kweli anatusaidia sasa kwa kushikilia na kutushikilia anatusaidia kuelewa Siratul Mustaqiim

Allah ambaye hatuwezi kumguza amesongesha mkono wa imani kwetu sote katika dunia hii kwa njia nzuri ambayo sisi wenyewe hatuwezi kuelewa.

"...Yeyote.. amwaminio Allah amejinyakulia utajiri wa dhamana mkononi usio vunjika."

Hii Ayat ul Kursi inaonyesha wazi tukitazama katika aya ya 253: Tuna usalama tukiamini katika ishara ya Yeus na Mitume.

OUsalama kama huo kutoka kwa Allah inatoka kwenye mkononi mwake. Ni katika
utakatifu huu tunaweza kuwasiliana na Allah, yeye pekee, na hata Roho kwa
Roho.
ONi yeye pekee ndiye tunaeweza kumwamini kwa sababu yeye ndiye wa kweli
kikamilifu.
OUsalama wake haivunjiki kwa sababu alijaribiwa kikamilifu na alikuwa na amani
hata wakati wa matatizo ya dunia hii kwa binadamu.

Kwa hivyo amani ilikuwa na mimi wakati nilipozaliwa, wakati nilipo kufa na wakati nitakapofufuka tena.

IMAGE imgs/Swahili11.gif